# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kujibu swali ambalo wanafaunzi wa Yohana walikuwa wameuliza # Hakuna watu wanaoweka mvinyo mpya katika ngozi ya zamani Yesu anatumia mithali Nyingine kuwajibu wanafunzi wa Yohana. Hii inamaanisha ni kitu kilekile sawa na mithali ya 9:16 # Hakuna watu wanaoweka "Hakuna hata mmoja anayemwaga" au "Watu hawaweki kamwe" # mvinyo mpya Huu ni mvinyo ambao haujachacha. Kama mizabibu haijulikani kwenye sehemu yenu, tumia neno la ujumla la tunda."mvinyo wa matunda" # mfuko wa mvinyo mkuukuu Hii inamaanisha mifuko ya mvinyo ambayo imekuwa ikitumika mara nyingi. # Mfuko wa mvinyo "mkoba wa mvinyo" au "mkoba wa ngozi". Hii ni mifuko iliyokuwa imetengenezwa kwa ngozi za wanyama. # mvinyo utatoweka na gozi itaharibika Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. "Na hii itaharibu mfuko wa mvinyo na mvinyo kumwagika. # ngozi itaharibika mvinyo mpya unapochacha na kuumuka, ile ngozi huchanika kwa sababu haiwezi tena kutanuka. # ngozi mpya "mifuko mipya ya mvinyo" au "begi jipya la mvinyo" Hii inamaanisha ngozi ya mvinyo ambayo haijawahi kutumika. # vyote vitakuwa salama Hili linaweza kuelezwa kwa mfumo tendaji