sw_tn/mat/09/10.md

20 lines
714 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa ujumla
Matukio haya yalitokea kwenye nyumba ya Mathayo mtoza ushuru
# nyumba
Hii yawezekana ni nyumba ya Mathayo, lakini yawezekana kuwa nyumba ya Yesu(walitumia kula Yesu na wanafunzi wake")Kilitengwa maalum ikiwa kitahitajika kuepusha kuchanganywa.
# Ndipo
Hii inaonyesha mwanzo wa tukio jingine katika habari kuu. Inaweza kuhusisha watu tofauti kuliko matukio yale ya kwanza. Lugha yako inaweza kuwa na namna ya kulielezea hili.
# Mafarisayo walipoona hayo
"Na mafarisayo walipoona kwamba Yesu alikuwa anakula na watoza ushuru na watu wenye dhambi"
# kwa nini mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na waovu?
Mafarisayo walitumia swali hili kumkosoa Yesu kile alichokuwa akifanya.