# Maelezo kwa ujumla Matukio haya yalitokea kwenye nyumba ya Mathayo mtoza ushuru # nyumba Hii yawezekana ni nyumba ya Mathayo, lakini yawezekana kuwa nyumba ya Yesu(walitumia kula Yesu na wanafunzi wake")Kilitengwa maalum ikiwa kitahitajika kuepusha kuchanganywa. # Ndipo Hii inaonyesha mwanzo wa tukio jingine katika habari kuu. Inaweza kuhusisha watu tofauti kuliko matukio yale ya kwanza. Lugha yako inaweza kuwa na namna ya kulielezea hili. # Mafarisayo walipoona hayo "Na mafarisayo walipoona kwamba Yesu alikuwa anakula na watoza ushuru na watu wenye dhambi" # kwa nini mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na waovu? Mafarisayo walitumia swali hili kumkosoa Yesu kile alichokuwa akifanya.