sw_tn/mat/09/07.md

36 lines
907 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hii inahitimisha habari ya Yesu ya kumponya mtu aliyepooza. Kisha Yesu akamwita mtoza ushuru kuawa mmoja wa wanafunzi wake.
# ambaye amewapa
"kwa sababu amewapa"
# mamlaka hayo
mamlaka ya kuthibitisha kusamehe dhambi
# Na Yesu alipokuwa akipita kutoka hapo
Kirai hiki kinaonyesha mwanzo wa simulizi mpya. Kamalugha yako ina namna ya kufanya hili, unaweza kulitumia mahali hapa.
# akaipita kutoka hapo
"alikuwa akiondoka" au "alikuwa akienda"
# Mathayo...naye...Yeye
Utamaduni wa kanisa unasema Mathayo ni mwandishi wa hii Injili, lakini andiko halitoi sababu ya kubadilisha kiwakilishi kutoka "naye" na "yeye" kwa "kwangu" na "mimi"
# Yeye alisema naye
"Yesu alisema na Mathayo"
# naye akamwambia
"Yesu alimwambia Mathayo"
# Naye akasimama na kumfuata yeye
"Mathayo alisimama na kumfuata yeye" kama mwanafunzi, siyo tu kujumuika na Yesu kwa kinachofuata kukamilisha.