sw_tn/mat/07/28.md

12 lines
398 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa ujumla
Mistari hii inafafanua jinsi watu katika makutano walivyoyapokea mafundisho ya Yesu ya mlimani.
# ilifika kipindi ambacho
Huu usemi unaonyesha hitimisho la hotuba ya mlimani.
# walishangazwa kwa mafundisho yake
iko wazi katika 7:29 kwamba walishangazwa si kwa sababu ya alichofundisha Yesu bali pia jinsi alivyofundisha . "walishangazwa kwa jinsi alivyoweza kufundisha."