# Maelezo kwa ujumla Mistari hii inafafanua jinsi watu katika makutano walivyoyapokea mafundisho ya Yesu ya mlimani. # ilifika kipindi ambacho Huu usemi unaonyesha hitimisho la hotuba ya mlimani. # walishangazwa kwa mafundisho yake iko wazi katika 7:29 kwamba walishangazwa si kwa sababu ya alichofundisha Yesu bali pia jinsi alivyofundisha . "walishangazwa kwa jinsi alivyoweza kufundisha."