sw_tn/mat/06/32.md

32 lines
896 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa kuwa mataifa wanafuta mambo haya
"kwa mataifa wanajali san juu ya kile watachokula, kunywa na kuvaa"
# Baba yenu wa mbinguni anajua mnahitaji hayo
Yesu anamaanisha kwamba Mungu atahakikisha mahitaji ya muhimu mnapata
# Baba
Hii ni sifa muhimu ya Mungu
# tafuta kwanza ufalme na haki
Hapa "ufalme" inamaanisha utawala wa Mungu kama mfalme. "umaanishe mwenyewe katika kumtumikia Mungu, ambaye ni mfalme wako, na ufanye yaliyo haki."
# hayo mengine yote atakupatia wewe
Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai.AT: "Mungu atakupatia hayo yote wewe."
# Hivyo basi
"Kwa sababu ya hayo yote"
# kesho itajua yenyewe
Yesu anafafanua "kesho" kama mtu ambaye anaweza kuhofu. Yesu anamaanisha kwamba mtu anaweza kuhofu endapo siku inayofuata imefika.
# kila siku ina tatizo la kujitosheleza yenyewe
"kila siku huwa ina mabaya yake yakujitosheleza" au "Kila siku ina matatizo yake ya kutosha"