# Kwa kuwa mataifa wanafuta mambo haya "kwa mataifa wanajali san juu ya kile watachokula, kunywa na kuvaa" # Baba yenu wa mbinguni anajua mnahitaji hayo Yesu anamaanisha kwamba Mungu atahakikisha mahitaji ya muhimu mnapata # Baba Hii ni sifa muhimu ya Mungu # tafuta kwanza ufalme na haki Hapa "ufalme" inamaanisha utawala wa Mungu kama mfalme. "umaanishe mwenyewe katika kumtumikia Mungu, ambaye ni mfalme wako, na ufanye yaliyo haki." # hayo mengine yote atakupatia wewe Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai.AT: "Mungu atakupatia hayo yote wewe." # Hivyo basi "Kwa sababu ya hayo yote" # kesho itajua yenyewe Yesu anafafanua "kesho" kama mtu ambaye anaweza kuhofu. Yesu anamaanisha kwamba mtu anaweza kuhofu endapo siku inayofuata imefika. # kila siku ina tatizo la kujitosheleza yenyewe "kila siku huwa ina mabaya yake yakujitosheleza" au "Kila siku ina matatizo yake ya kutosha"