sw_tn/mat/05/11.md

20 lines
542 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anamaliza kueleza tabia za watu ambao wamebarikiwa.
# Mliobarikiwa
Neno "ninyi" ni wingi.
# kusema kila aina ya mambo maovu dhidi yenu kwa uongo.
"watasema kila aina ubaya dhidi yenu" au "watasema mambo mabaya juu yenu ambayo si ya kweli"
# kwa ajili yangu
"kwa sababu mwanifuata mimi" au "kwa sababu mwaniamini"
# Furahini na kushangilia
"Furahini" na "kushangilia" humaanisha karibu kitu kile kile. Yesu alitaka wasikilizaji wake sio tu kufurahi bali hata kufanya zaidi kuliko kufurahi kama inawezekana.