sw_tn/mat/05/09.md

24 lines
669 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wapatanishi
Hawa ni watu ambao husaidia wengine kuwa na amani na wengine miongoni mwao.
# kwa kuwa wataitwa wana wa Mungu
Hii inaweza kuelezwa katika namna ya muundo tendaji. "kwa kuwa Mungu atawaita watoto wake" au "watakuwa watoto wa Mungu.
# wana wa Mungu
Ni vizuri kutafsiri "wana" kwa neno lile lile lugha yako kwa kawaida ungelitumia kurujelea kwa mwana au mtoto wa binadamu
# wale ambao wameteswa
Hii inaweza kuelezwa katika namna muundo tendaji. "watu wale ambao wengine huwatendea kwa isivyo haki"
# kwa ajili ya haki
"kwa sababu wanafanya kile ambacho Mungu hutaka wafanye"
# ufalme wa mbinguni ni wao
angalia jinsi ulivyotafsiri katika Mat. 5:1