# wapatanishi Hawa ni watu ambao husaidia wengine kuwa na amani na wengine miongoni mwao. # kwa kuwa wataitwa wana wa Mungu Hii inaweza kuelezwa katika namna ya muundo tendaji. "kwa kuwa Mungu atawaita watoto wake" au "watakuwa watoto wa Mungu. # wana wa Mungu Ni vizuri kutafsiri "wana" kwa neno lile lile lugha yako kwa kawaida ungelitumia kurujelea kwa mwana au mtoto wa binadamu # wale ambao wameteswa Hii inaweza kuelezwa katika namna muundo tendaji. "watu wale ambao wengine huwatendea kwa isivyo haki" # kwa ajili ya haki "kwa sababu wanafanya kile ambacho Mungu hutaka wafanye" # ufalme wa mbinguni ni wao angalia jinsi ulivyotafsiri katika Mat. 5:1