sw_tn/mat/03/04.md

20 lines
745 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sasa...asali ya nyikani
Neno "sasa" limetumika hapa kuweka alama kutenganisha mtiririko mkuu wa simulizi. Hapa Mathayo ana simulia habari za historia ya nyuma kuhusu Yohana Mbatizaji.
# alivaa nguoa za manyoa ya ngamia na mkanda wa ngozi katika kiuno chake.
Vazi hili huashiria kwamba Yohana ni nabii kama manabii wa tangu zamani, hususan nabii Eliya.
# Kisha Yerusalemu, Uyahudi yote, na mkoa wote
Hii humaanisha watu kutoka maeneo yale. "Hapa neno "yote" humaanisha "wengi." Mathayo anasisitiza jinsi watu wengi walivyoenda kwa Yohana Mbatizaji.
# Walibatizwa naye
Hii inaweza kuelezwa katika namna iliyo tendaji. "Yohana aliwabatiza."
# Wao
Hii inamaanisha watu waliokuja kutoka Yerusalemu, Uyahudi, na mkoa kuzunguka Mto Yordani.