sw_tn/mat/02/07.md

24 lines
623 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Herode aliwaita mamajusi kwa siri
Hii inamaanisha kwamba Herode alizungumza na mamajusi bila ya watu wengine kujua.
# kuwauliza lini hasa nyota ilikuwa imekwisha onekana.
Hii inaweza kutafsiriwa kama nukuu ya moja kwa moja. "na akawauliza, lini hasa nyota hii ilionekana?"
# nyota ilikuwa imeonekana lini
Hii inadokeza kwamba mamajusi walimwambia nyota ilionekana lini. "wakati gani nyota ilikuwa umeonekana. Mamajusi walimwambia Herode lini wakati nyota ilipoonekana mara ya kwanza."
# mtoto mchanga
Inamaanisha Yesu.
# nipe neno
"nijulishe" au "niambie"
# mwabudu
Tafsiri hii kama ulivyofanya katika Mat 2:1