# Herode aliwaita mamajusi kwa siri Hii inamaanisha kwamba Herode alizungumza na mamajusi bila ya watu wengine kujua. # kuwauliza lini hasa nyota ilikuwa imekwisha onekana. Hii inaweza kutafsiriwa kama nukuu ya moja kwa moja. "na akawauliza, lini hasa nyota hii ilionekana?" # nyota ilikuwa imeonekana lini Hii inadokeza kwamba mamajusi walimwambia nyota ilionekana lini. "wakati gani nyota ilikuwa umeonekana. Mamajusi walimwambia Herode lini wakati nyota ilipoonekana mara ya kwanza." # mtoto mchanga Inamaanisha Yesu. # nipe neno "nijulishe" au "niambie" # mwabudu Tafsiri hii kama ulivyofanya katika Mat 2:1