sw_tn/mat/01/15.md

20 lines
363 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo yanayounganisha
Mwandhishi anahitimisha ukoo wa Yesu, ambayo yalianza katika Mat.1: 1
# Mariamu, ambaye kwa yeye Yesu alizaliwa
Mariamu, ambaye alimzaa Yesu
# Aitwaye Kristo
Hii inaweza kuelezwa kwa namna iliyo hai. "watu ambao humwita Kristo."
# Kumi na nne
"14"
# kuchukuliwa kwenda Babeli
Tumia maneno yale yale uliyotumia katika Mat.1:9.