# Maelezo yanayounganisha Mwandhishi anahitimisha ukoo wa Yesu, ambayo yalianza katika Mat.1: 1 # Mariamu, ambaye kwa yeye Yesu alizaliwa Mariamu, ambaye alimzaa Yesu # Aitwaye Kristo Hii inaweza kuelezwa kwa namna iliyo hai. "watu ambao humwita Kristo." # Kumi na nne "14" # kuchukuliwa kwenda Babeli Tumia maneno yale yale uliyotumia katika Mat.1:9.