Hii ni ishara muhimu. Pazia ilikuwa mfano ya utenganisho kati ya Mungu na mwanadamu. Mungu hakuweza kupatikana moja kwa moja kwa sababu ya utakatifu wake. Kifo cha Kristo kilibadilisha hii. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/holy]])
Baada ya swali moja rahisi, inaonekana kwamba Pilato anamtangaza Yesu kutokuwa na hatia haraka sana. Hii ni kwa sababu Luka hajaweka maelezo mengi ya mazungumzo ya Yesu na Pilato. Habari hii imeandikwa katika Injili nyingine.