Hadi leo, hatua hii inafanyika karibu na makanisa yote kukumbuka dhabihu ya Kristo kwa ajili ya dhambi za mwanadamu. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sin]])
Yesu anataja Agano Jipya wakati wa jioni la mwisho. Agano Jipya ni chanzo cha utata kati ya wasomi. Kuna maoni mengi tofauti kuhusu wakati agano hili linapoanza na uhusiano wa kanisa na agano jipya. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/newcovenant]])
Katika tamaduni nyingi, kuna imani kwamba mambo mabaya hutokea tu katikati ya usiku, wakati watu wema wamelala. Maneno haya ni kejeli yanayoonyesha kwamba watu wanaomkamata Yesu wanatenda mabaya. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/evil]])