sw_tn/luk/22/47.md

20 lines
689 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# tazama, kundi kubwa la watu likatokea
Neno "tazama" linatutazamisha kuhusu kundi jipya katika simulizi.
# akiwaongoza
Yuda alikuwa akiwaonyesha watu Yesu alipo. Alikuwa hawaambii kundi la watu nini cha kufanya. Tafsiri mbadala: "akiwaongoza kwa Yesu."
# ili ambusu
"kumsalimia kwa busu" au "kumsalimia kwa kumbusu." Wakati wanaume walipowasalimia wanaume wengine ambao walikuwa wa familia au marafiki, waliwakumbatia.
# je unamsaliti Mwana wa Adamu kwa busu
Yesu anatumia swali kumkemea Yuda kwa kumsaliti kwa busu. Kwa kawaida busu ni ishara ya upendo. Tafsiri mbadala: "Ni busu unayotumia kumsaliti Mwana wa Adamu!"
# Mwana wa Adamu
Yesu anatumia neno hili kujiongelea yeye.