sw_tn/luk/22/31.md

32 lines
752 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya kijumla:
Yesu anaongea moja kwa moja na Simoni.
# Simon, Simon
Yesu alilisema jina lake mara mbili kuonyesha kwamba kile ambacho alikuwa akiseme kwake kilikuwa cha muhimu sana.
# awapate, ili awapepete
Neno "awa" linaonyesha mitume wote.
# awapepete kama ngano
Hii inamaanisha kwamba Shetani alitaka kuwajaribu mitume ili kupata makosa.
# Lakini nimekuombea
Hapa inamaanisha amemuombea kipekee kabisa SImoni.
# kwamba imani yako isishindwe
"kwamba utaendelea kuwa na imani" au "utaendelea kunitegemea mimi"
# Baada ya kuwa umerudi tena
"Baada ya kuanza kunifuata tena" au "Baada ya kuanza kunitumikia mimi tena"
# ndugu zako
Hii inamaanisha wanafunzi wengine wa Yesu. Tafsiri mbadala: "Waamini wenzako" au "mitume wengine."