Wayahudi walizungumzia wakati kati ya uhamisho wa Babeli na kuja kwa Masihi kama kipindi cha utawala wa Wayunani. Hii ni kwa sababu Wayahudi hawakuwa na mamlaka juu ya mambo yao wenyewe.
Unabii katika sura hii ina lugha ya kusema kwa mifano. Ni bora kutafsiri habari yalioandikwa kama matukio halisi isipokuwa tafsiri hii haiwezekani au inatoa maana isiyosawa. Kwa mfano, maneno "yamevunjwa," "yatasimama dhidi," na "hakuna nywele kichwani mwako itakayoangamia" ni mifano. "Ishara mbinguni," "tetemeko la ardhi," na "vita" lazima pia zitafsiriwe kwa uhalisi. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]])