sw_tn/luk/18/intro.md

36 lines
1.9 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Luka 18 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na upangiliaji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Luka 18:6-8 inapaswa kuonekana kama maelezo ya mfano katika 18:1-5.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Hakimu asiye na haki
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Waamuzi walitakiwa kuendesha haki bila masharti, lakini hakimu huyu hamtendei mwanamke haki. Badala yake, anapaswa kuomba mara nyingi kwa hakimu kufanya jambo linalofaa. Kwa hiyo, hakimu alionyeshwa kama 'asiye na haki." (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/justice]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/unjust]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Mafarisayo na watoza ushuru
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Luka mara kwa mara anaonyesha kuwa tofauti makundi haya mawili ya watu katika injili yake. Mafarisayo walijiona kuwa ni mifano ya wazi ya wenye haki na kuona watoza ushuru kuwa wenkye dhambi sana, mifano ya wazi ya uovu. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/righteous]], [[rc://*/tw/dict/bible/kt/unrighteous]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sin]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Mwana wa Binadamu"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Yesu anajiita mwenyewe kama "Mwana wa Binadamu." Lugha zingine haziwezi kuruhusu mtu kujitaja mwenyewe kama 'mtu wa tatu.'
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Aliomba mambo haya juu yake mwenyewe"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Sala ya Mfarisayo kwa hakika haielekezwi kwa Mungu, kwa hiyo kile anachofanya sio maombi. Yeye anadhani anaomba, lakini anazungumza tu ili watu wengine wamsikie na kufikiri kuwa ni mtakatifu.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Maelekezo ya jumla na Maalum
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Kuna nyakati ambapo Agano Jipya inatoa maelekezo maalum au amri ambazo zinahusu Wakristo wote. Kwa nyakati nyingine, maelekezo yake ni ya jumla au hata kupita kiasi. Kwa mfano, wakati Yesu anasema, "Uza vitu vyako," hazungumzii na Wakristo wote mahali pote wakati wote, lakini Wakristo wote wanapaswa kukumbuka kwamba wao ni mawakili tu wa kila kitu wanachopokea kutoka kwa Mungu, na anaweza kuwaomba kukitoa wakati wowote. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-hyperbole]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[Luke 18:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../17/intro.md) | [>>](../19/intro.md)__