sw_tn/luk/18/31.md

36 lines
863 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo yanayounganisha:
Hii ni sehemu inayofuata ya sehemu ya simulizi inayoanza Yesu haongei tuu na wanafunzi wake tuu.
# Tazama
Inaonyesha umuhimu wa mabadiliko katika huduma ya Yesu alivyokuwa akienda Yerusalemu kwa mara ya mwisho.
# Yaliyoandikwa na manabii
"ambayo manabii waliandika"
# Manabii
Hii inamaanisha Manabii wa Agano la kale.
# Mwana wa Adamu
Yesu alikuwa anajielezea mwenyewe kama "mwana wa Adamu" na akatumia "yeye" kujielezea mwenyewe.
# Yatatimizwa
"yatatokea" au "yatatimia"
# Atatiwa mikononi mwa Mataifa
"Viongozi wa Kiyahudi watamkabidhi kwa Mataifa"
# watamtendea dhihaka na jeuri, na kutemewa mate
"watamdhihaki, watamtendea vibaya na kumtemea mate"
# Siku ya tatu
Hii inaelezea siku ya tatu baada ya kufufuka. Japokuwa wanafunzi wake hawakumuelewa, hivyo ni vizuri kutokuongeza maelezo haya unapotafsiri mstari huu.