# Maelezo yanayounganisha: Hii ni sehemu inayofuata ya sehemu ya simulizi inayoanza Yesu haongei tuu na wanafunzi wake tuu. # Tazama Inaonyesha umuhimu wa mabadiliko katika huduma ya Yesu alivyokuwa akienda Yerusalemu kwa mara ya mwisho. # Yaliyoandikwa na manabii "ambayo manabii waliandika" # Manabii Hii inamaanisha Manabii wa Agano la kale. # Mwana wa Adamu Yesu alikuwa anajielezea mwenyewe kama "mwana wa Adamu" na akatumia "yeye" kujielezea mwenyewe. # Yatatimizwa "yatatokea" au "yatatimia" # Atatiwa mikononi mwa Mataifa "Viongozi wa Kiyahudi watamkabidhi kwa Mataifa" # watamtendea dhihaka na jeuri, na kutemewa mate "watamdhihaki, watamtendea vibaya na kumtemea mate" # Siku ya tatu Hii inaelezea siku ya tatu baada ya kufufuka. Japokuwa wanafunzi wake hawakumuelewa, hivyo ni vizuri kutokuongeza maelezo haya unapotafsiri mstari huu.