sw_tn/luk/18/09.md

24 lines
364 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Yesu anaanza kuwaambia mfano mwingine kwa watu wengine waliojiona kuwa wenye haki.
# Ndipo yeye
"Ndipo Yesu"
# Baadhi
"Baadhi ya watu"
# Ambao walijiona wenyewe kuwa wenye haki
"waliokuwa na haki wenyewe" au "waliodhani kuwa wana haki"
# kuwadharau
"Kutothamini" au "kudhani kuwa ni bora zaidi ya"
# Hekaluni
"kwenye eneo la hekalu"