# Taarifa ya jumla: Yesu anaanza kuwaambia mfano mwingine kwa watu wengine waliojiona kuwa wenye haki. # Ndipo yeye "Ndipo Yesu" # Baadhi "Baadhi ya watu" # Ambao walijiona wenyewe kuwa wenye haki "waliokuwa na haki wenyewe" au "waliodhani kuwa wana haki" # kuwadharau "Kutothamini" au "kudhani kuwa ni bora zaidi ya" # Hekaluni "kwenye eneo la hekalu"