Luka 6:20-49 ina baraka na ole nyingi ambazo zinaonekana kuwa sawa na Mathayo 5-7. Sehemu hii ya Mathayo kwa kawaida inaitwa "Mahubiri ya Mlimani." Katika Luka, hayashikamani na mafundisho juu ya ufalme wa Mungu kama katika injili ya Mathayo. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/kingdomofgod]])
Ilikuwa nazoezi yaliokubaliwa kwa wasafiri kuchuma na kula kiasi kidogo cha nafaka kutoka kwa mimea katika mashamba waliyoyapitia. Sheria ya Musa ililazimisha walimaji waruhusu wasafiri hivyoo. Wafarisay waliwaza kama kuchuma nafaka ni kazi ya "kukusanya masuke yaiyobaki" na sheria ya Musa inazuia kufanya kazi kwa siku ya Sabato. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]], [[rc://*/tw/dict/bible/kt/works]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sabbath]])
Mara nyingi Luka anaandika habari yaliyoelewa kabisa na watu wa kale wa inchi za Mashariki ya Karibu lakini labda watu wa leo wa mazoezi tofauti hawaelewi. kwa mfano watu wanatarajia siku ya hukumu ya mwisho au labda hukumu kwa siku ya mwisho ya maisha yao (Luka 6:37). (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-explicit]])
Yafuatayo ni orodha ya wanafunzi kumi na wawili: Katika Mathayo: Simoni (Petro), Andrea, Yakobo mwana wa Zebedayo, Yohana mwana wa Zebedayo, Filipo, Bartholomayo, Tomasi, Mathayo, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni mzeloti na Yuda Iskarioti.
Katika Marko: Simoni (Petro), Andrea, Yakobo mwana wa Zebedayo na Yohana mwana wa Zebedayo (ambaye aliwaita Boanerge, yaani, wana wangurumo), Filipo, Bartholomayo, Mathayo, Tomasi, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni mzeloti, na Yuda Isikarioti.