sw_tn/luk/01/76.md

24 lines
831 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ndiyo, na wewe
Zakaria anatumia kauli hii kuanza hotuba yake moja kwa moja kwa mtoto wake. Unaweza kuwa na njia ile ile ya kuhutubia moja kwa moja katika lugha yako.
# huyu, mtoto, ataitwa nabii
Watu watatambua kwamba huyu ni nabii. Hii inaweza ikasemwa katika mtindo wa kutendea. NI: "watu watajua kwamba wewe ni nabii."
# wa aliye Juu Sana
"ambaye anamtumikia aliye Juu Sana." Hii inarejea kwa Mungu. NI: "ambaye anazungumza kwaajili ya Mungu aliye Juu Sana."
# kwenda mbele za uso wa Bwana
Nahau hii inamaana "kwenda mbele za Bwana" au "kuja mbele za Bwana."
# kuwapa maarifa ya wokovu watu wake
"kuelezea wokovu kwa watu wake" au "hivyo watu wake waweze kufahamu wokovu"
# kwa msamaha wa dhambi zao
"kupitia msamaha wa dhambi zao." Pia inaweza kusemwa katika mtindo wa kutendea. NI: "kwa sababu Mungu amewasamehe"