sw_tn/job/31/11.md

12 lines
434 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Ayubu anaendelea kufafanua hali ambazo alistahili kupata hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli.
# litakuwa ni kosa kubwa kuadhibiwa na waamuzi
"Litakuwa ni kosa ambalo kwa ajili yake waamuzi watakuwa sahihi kuniad
# Kwa kuwa ni moto ambao unateketeza kila kitu kwa uharibifu, na kwamba utaunguza mavuno yangu yote
Ayubu anatia mkazo jinsi dhambi ya uzinzi iilivyo ya hatari na kuangamiza.