# Maelezo ya jumla Ayubu anaendelea kufafanua hali ambazo alistahili kupata hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli. # litakuwa ni kosa kubwa kuadhibiwa na waamuzi "Litakuwa ni kosa ambalo kwa ajili yake waamuzi watakuwa sahihi kuniad # Kwa kuwa ni moto ambao unateketeza kila kitu kwa uharibifu, na kwamba utaunguza mavuno yangu yote Ayubu anatia mkazo jinsi dhambi ya uzinzi iilivyo ya hatari na kuangamiza.