sw_tn/job/02/07.md

20 lines
476 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kisha Shetani akatoka mbele ya uso wa BWANA.
Tafasiri kama katika 1: 9.
# akampiga
"kushambuliwa" au "athiriwa na"
# majipu mabaya
makubwa, yanayowasha na maambukizi machungu ya ngozi
# kipande cha kigae kujikunia
kusugua mikwaruzo ya ngozi ili kupunguza mwasho.
# akaketi chini majivuni.
Hii yawezekana inahusiana na eneo ambalo takataka hutupwa na pengine huchomwa. kukaa katika eneo kama hilo ilikuwa alama ya maombolezo mazito. "kukaa kwenye rundo la takataka"