# Kisha Shetani akatoka mbele ya uso wa BWANA. Tafasiri kama katika 1: 9. # akampiga "kushambuliwa" au "athiriwa na" # majipu mabaya makubwa, yanayowasha na maambukizi machungu ya ngozi # kipande cha kigae kujikunia kusugua mikwaruzo ya ngozi ili kupunguza mwasho. # akaketi chini majivuni. Hii yawezekana inahusiana na eneo ambalo takataka hutupwa na pengine huchomwa. kukaa katika eneo kama hilo ilikuwa alama ya maombolezo mazito. "kukaa kwenye rundo la takataka"