sw_tn/jhn/21/17.md

12 lines
285 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Je, wanipenda mimi?
Mara hii Yesu anapouliza swali hili anatumia neno kwa "upendo" ambalo linamanisha upendo wa ndugu au upendo wa urafiki au upendo wa kifamila
# Lisha kondoo wangu
"Uwajali watu wangu ninaowajali"
# Kweli, kweli
itafsiriwe kama ilivyo kwenye Yohana 1:49, 1:51