# Je, wanipenda mimi? Mara hii Yesu anapouliza swali hili anatumia neno kwa "upendo" ambalo linamanisha upendo wa ndugu au upendo wa urafiki au upendo wa kifamila # Lisha kondoo wangu "Uwajali watu wangu ninaowajali" # Kweli, kweli itafsiriwe kama ilivyo kwenye Yohana 1:49, 1:51