sw_tn/jhn/21/07.md

16 lines
433 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# aliyempenda
Huu ni upendo unaotoka kwa Mungu ambao hutazama zaidi mema ya wengine, hata kama hauna maslahi binafsi. Upendo wa aina hii huwajali zaidi wengine bila kujali wanachokifanya
# (maana hakuwa amelivaa vizuri)
Hii ni kwa mujibu wa mukhutadha
# Kwani hawakuwa mbali na pwani, yapata mita mia moja kutoka ufukweni)
Hii ni kwa mujibu wa mukhutadha
# yapata dhiraa miambili
"mita tisini"dhiraa ni ndogo kuliko nusu mita