# aliyempenda Huu ni upendo unaotoka kwa Mungu ambao hutazama zaidi mema ya wengine, hata kama hauna maslahi binafsi. Upendo wa aina hii huwajali zaidi wengine bila kujali wanachokifanya # (maana hakuwa amelivaa vizuri) Hii ni kwa mujibu wa mukhutadha # Kwani hawakuwa mbali na pwani, yapata mita mia moja kutoka ufukweni) Hii ni kwa mujibu wa mukhutadha # yapata dhiraa miambili "mita tisini"dhiraa ni ndogo kuliko nusu mita