sw_tn/jhn/20/16.md

16 lines
450 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Rabboni
Neno "Rabboni" linamanisha rabi au mwalimu katika Matamushi ya Kiaramaic ya Mariamu
# ndugu
Yesu alitumia neno "ndugu" akimaanisha wanafunzi wake
# nitapaa kwenda kwa baba amabye pia ni baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu.
Yesu alifufuka toka wafu kisha akatabiri kupaa mbinguni, akirudi kwa Baba, Mungu Baba
# Baba yangu na Baba yenu
Hivi ni vyeo muhimu vinavyofafanua uhusiano kati ya Yesu na Mungu, na kati ya waumini na Mungu.