# Rabboni Neno "Rabboni" linamanisha rabi au mwalimu katika Matamushi ya Kiaramaic ya Mariamu # ndugu Yesu alitumia neno "ndugu" akimaanisha wanafunzi wake # nitapaa kwenda kwa baba amabye pia ni baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu. Yesu alifufuka toka wafu kisha akatabiri kupaa mbinguni, akirudi kwa Baba, Mungu Baba # Baba yangu na Baba yenu Hivi ni vyeo muhimu vinavyofafanua uhusiano kati ya Yesu na Mungu, na kati ya waumini na Mungu.