sw_tn/jhn/19/14.md

16 lines
345 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi:
Muda umepita na sasa ni saa la sita, wakati Pilato anawaagiza askari wamsulibishe Yesu.
# saa la sita
kama muda wa mchana
# Pilato akwaambia Wayahudi
Hapa inamaanisha Pilato aliwaambia viongozi wa Kiyahudi
# Je, mimi nimsulibishe mfalme wenu?
Pilato anawauliza Wayahudi ikiwa wanataka askari wake wamsulibishe Yesu.