# Sentensi unganishi: Muda umepita na sasa ni saa la sita, wakati Pilato anawaagiza askari wamsulibishe Yesu. # saa la sita kama muda wa mchana # Pilato akwaambia Wayahudi Hapa inamaanisha Pilato aliwaambia viongozi wa Kiyahudi # Je, mimi nimsulibishe mfalme wenu? Pilato anawauliza Wayahudi ikiwa wanataka askari wake wamsulibishe Yesu.