sw_tn/jhn/18/intro.md

28 lines
1.5 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Yohana 18 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na upangiliaji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Mistari ya 13 na 14 inasema, "kwa kuwa alikuwa baba mkwe Kayafa, ambaye alikuwa kuhani mkuu mwaka huo. Sasa Kayafa ndiye aliyewapa Wayahudi ushauri kwamba ingekuwa bora kwamba mtu mmoja afe kwa ajili ya watu . " Hii ni taarifa ya mabano inayotolewa na mwandishi. Inalenga kuelezea taarifa muhimu ya historia. Inawezekana kuweka taarifa hii kwa mabano.
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Sio halali kwetu kumwua mtu yeyote"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Ufalme wa Kirumi haukuruhusu Wayahudi kutekeleza adhabu ya kifo kwa mtu yeyote. Kwa hiyo, Wayahudi walipaswa kuwasilisha kesi yao kwa mtawala wa kipagani, Pilato.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Ufalme wa Yesu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Yesu anamwelezea Pilato kwamba ufalme wake sio "wa ulimwengu huu." Wataalamu wengine huchukua hii kumaanisha ya kwamba Yesu anatawala ufalme wa kiroho, lakini wengine wanasema kama maana ya maneno ya Yesu ilikuwa kama ufalme wake haukushindana na ufalme wa Kirumi. Inawezekana kutafsiri maneno haya kama ufalme wa Yesu "haukuanzisha mahali hapa au huanzisha mahali pengine."
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Mifano muhimu ya usemi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Mfalme wa Wayahudi"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Maneno haya hutumiwa kwa njia mbili tofauti katika kifungu hiki. Kwanza, Yesu anasemekana kuwa mfalme wa Wayahudi. Yeye ndiye mfalme wa Wayahudi na ulimwengu wote. Pili, hutumiwa kwa kinaya au kudhihaki na Pilato. Pilato hakumwamini Yesu kuwa mfalme wa Wayahudi. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-irony]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[John 18:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../17/intro.md) | [>>](../19/intro.md)__