sw_tn/jhn/17/24.md

16 lines
387 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Baba...ulinipenda mimi kabla y kuumbwa kwa isingi ya ulimwengu
Mungu Baba amempenda Mungu mwana. Kabla Mungu hajauumba ulimwengu, nafsi za Mungu hupendana, na zitaendelea kupendana milele yote.
# Nilipo mimi
hii inamaanisha mbinguni
# ili waweze kuona utukufu wangu
ili waweze kujua ukuu wangu
# kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu
Hapa Yesu anamaanisha wakati wa kabla ya uumbaji