# Baba...ulinipenda mimi kabla y kuumbwa kwa isingi ya ulimwengu Mungu Baba amempenda Mungu mwana. Kabla Mungu hajauumba ulimwengu, nafsi za Mungu hupendana, na zitaendelea kupendana milele yote. # Nilipo mimi hii inamaanisha mbinguni # ili waweze kuona utukufu wangu ili waweze kujua ukuu wangu # kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu Hapa Yesu anamaanisha wakati wa kabla ya uumbaji