sw_tn/jhn/17/22.md

16 lines
313 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Utukufu ule ulionipa mimi nimewapa wao
nimewaheshimu wafuasi wangu kama ambavyo wewe umeniheshimu mimi
# ili kwamba waweze kuwa na umoja
Unaweza kutafsiri kama: "ili uweze kuwaunganisha kama ambavyo umetuunganisha sisi"
# kukamilishwa katika umoja
kuwa kitu kimoja
# ili ulimwengu ujue
ulimwengu ni watu