# Utukufu ule ulionipa mimi nimewapa wao nimewaheshimu wafuasi wangu kama ambavyo wewe umeniheshimu mimi # ili kwamba waweze kuwa na umoja Unaweza kutafsiri kama: "ili uweze kuwaunganisha kama ambavyo umetuunganisha sisi" # kukamilishwa katika umoja kuwa kitu kimoja # ili ulimwengu ujue ulimwengu ni watu