sw_tn/jhn/15/23.md

12 lines
309 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Yeye anichukiaye mimi humchukia Baba yangu pia ..... wameona na wamenichukia mimi na Baba yangu
Kumchukia Mungu mwana ni kumchukia Mungu Baba pia.
# wangelikuwa hawana dhambi
wasingekuwa wamefanya dhambi
# sheria
Hii inamaanisha Agano la Kale lote ambalo lilikuwa na maagizo yote ya Mungu kwa wanadamu