# Yeye anichukiaye mimi humchukia Baba yangu pia ..... wameona na wamenichukia mimi na Baba yangu Kumchukia Mungu mwana ni kumchukia Mungu Baba pia. # wangelikuwa hawana dhambi wasingekuwa wamefanya dhambi # sheria Hii inamaanisha Agano la Kale lote ambalo lilikuwa na maagizo yote ya Mungu kwa wanadamu