sw_tn/jhn/15/05.md

16 lines
449 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mimi ni mzabibu, ninyi ni matawi
Mzabibu unamwakilisha Yesu. Matawi yanawakilisha wale wote wanaomwamini Yesu.
# Yeye akaaye ndani yangu nami ndani yake
Yesu anajaribu kueleza kuwa wanafunzi wake wameunganisha na yeye kama yeye alivyounganishwa nao
# huzaa sana
Hii inamwelezea muumini anayempendeza Mungu kwamba kama vile tawi lizaalo sana.
# ombeni lolote mtakalo
Yesu anawaambia waumini kwamba ni lazima wamuombe Mungu ajibu maombi yao.