# Mimi ni mzabibu, ninyi ni matawi Mzabibu unamwakilisha Yesu. Matawi yanawakilisha wale wote wanaomwamini Yesu. # Yeye akaaye ndani yangu nami ndani yake Yesu anajaribu kueleza kuwa wanafunzi wake wameunganisha na yeye kama yeye alivyounganishwa nao # huzaa sana Hii inamwelezea muumini anayempendeza Mungu kwamba kama vile tawi lizaalo sana. # ombeni lolote mtakalo Yesu anawaambia waumini kwamba ni lazima wamuombe Mungu ajibu maombi yao.