sw_tn/jhn/14/intro.md

18 lines
661 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Yohana 14 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Nyumba ya Baba yangu"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Hii sio kurejelea hekalu. Lakini, ni kurejelea makao ya Mungu mbinguni. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/heaven]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Mfariji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Hili ni jina lingine la Roho Mtakatifu, pamoja na "Roho wa Kweli." Alikuwa tayari ulimwenguni, lakini angekuja kwa njia maalum, kukaa kati ya Wakristo, milele. Yesu na Roho Mtakatifu wote ni Mungu; kwa sababu ya ukweli huu, mtu anaweza kusema kwamba Yesu atakaa katika Wakristo baada ya kifo chake. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/holyspirit]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[John 14:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../13/intro.md) | [>>](../15/intro.md)__